RONALDO:MWANANGU NI SHABIKI WA MESSI

Kwa hali isiyo ya kawaida nayakushangaza sana baada ya Christian  kusema mwanae wa kiume  ni shabiki wa kutupawa Lione Messi.
Hatua hiyo imekuja na kujitokeza baada ya mtioto kufurahi na kujisikia mchangamfu baada ya kukutana na Lione Messi wakiwa na kujisikia kuwa nae kila mara.

Maoni

Machapisho Maarufu