MBUNGE JOSEPH MBILINYI....

Mbunge wa mbeya mjini mh Joseph Mbilinyi (sugu) amepata ajari katika 3neo la mlima wa Kitonga nje kidogo wa mkoa wa Iringa.
 Kwa mujibu wa ripota wetu inasemekana mbunge huyo wa Mbeya mjini hajapata mmadhara makibwa na hakuna aliyefariki katika ajali hiyo....wote wapo salama.
   .         MBARAMWEZI BLOG



Maoni

Machapisho Maarufu