BEYONCE SI MJAMZITO...USHAHIDI HUU HAPA!!!!

 Rafiki wa Beyonce ambaye pia ni mmoja kati ya members wa zamani wa kundi la Destiny's Child "Michelle Williams" atoa uwazii wa kusema ya kwamba mwanadada Beyonce sio mjamzito ki namna yoyote ile....hii ni kauli iliyokuja baada ya Msanii Beyonce kupost picha ikimuonesha yupo na ujauzito tumboni mwake.....ambayo iliwafanya watu kuhisi tofauti juu ya mwanadada Beyonce huenda akawa na ujauzito.
  
Lakini member huyo wa zaman wa DESTINY CHILD  amefafanua na kuweka uwazi wa mambo halisi kwa kusema nmaneno machache katika kipindi chao  kinachoitwa "THE VIEW" Kwa kusema..........
"You know,when she was pregnant,people said that she wasn't pregnant,there's just no strust to it......sorry first of all the picture,the baby bump is pobably where her knees probably really are.....just stop it stop ti"

Maoni

Machapisho Maarufu