MSANII CHIPUKIZI MWENYE STYLE KAMA YA T.I.D
Msanii wa kizazi kipya cha Bongo Freva anayechipukia na kuja kwa kasi sana kwenye industry ya mziki nchini Tanzania Mbwana Saidi (Syllabas)kama anavyojiita kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii,Anaendelea tena ukali wake kwa kuzidi kutoa ngoma kali ambayo inasambaa kwa haraka sana kwenye nyanja mbalimbali za kimuziki inayoenda kwa jina la BILA YA WEWE!!
BONYEZA HAPA Kusikiliza!


Maoni
Chapisha Maoni