CHAKARIKA

Habari....
 Nafikiri ni nzima wa afya kabisa hapo ulipo..pole kwa kazi za juma lililopita hadi siku ya leo ya wiki end...
Kwasasa tupo katika mwaka mwingine wa 2015 ambao wengi wetu tuna matarajio makubwa ya kuweza kufanikiwa ndani ya mwaka huu.....ila tukae tukijua kitu kimoja kuwa....
     Hakuna mafanikio pasipo kujishughulisha....tuachane na msemo eti TATIZO NYOTA......HAKUNA KITU KAMA HICHO!!!!

 Tafuta utapata....fanyakazi utafanikiwa.Bila ya kufanya hivyo itakuwa ni sawa na kusukuma mzigo wa kilo 70 ilihali wewe una kilo 20,kitu ambacho hakiwezekani.
 FANYAKAZI KAMA MTUMWA UJE UISHI KAMA MFALME.

                  MBARAMWEZI BLOG.




    

Maoni

Machapisho Maarufu