DIAMOND PLATNUMZ BASI TENAAAA!!! UNAJUA KAFANYA NINI??? BOFYA HAPA!!

Msanii wa kizazi kipya NASIB ABDUL almarufu kwa jina la DIAMOND PLATNUMZ amepata shavu zaidi kwa kuzidi kupenya katika nchi za watu kwa kukutana na wasanii maarufu kama PSQUARE  kutoka Nchini NIGERIA na FALII IPUPA wa nchini CoNGO..
Hata hivyo msanii DIAMOND  WIKI iliyoisha aliweza kupewa shavu la kuperform katika ufunguzi wa sherehe la kumtafuta mwanasoka bora AFRIKA.

Maoni

Machapisho Maarufu