MWANAUME MWENYE HIPS KALI KUSHINDA MASOGANGE

KIjana Micah ambaye pia ni msanii wa R&B anayeishi mjini CHICAGO MAREKANI amewashangaza na kuwastaajabisha watu kwa jisi la umbo lake lilivyo la kike na kusababisha kuwafanya wanawa ke kwa wanaume kushikwa na butwaa.
Hata hivyo kijana huyo amewashinda wanawake wengine wengi kwa umbo la kuvutia lenye HIPS  KALI Kushinda baadhi yao ambao wana miili midogo (ENGLISH FIGURE)

Maoni

Machapisho Maarufu